Posts

Showing posts from May, 2023

KATEKISIMU YA KANISA KATOLIKI

KATEKISIMU YA KANISA KATOLIKI

Katekisimu ya Kanisa Katoliki

Image
Ni Chombo Cha Imani, Sakramenti, Maadili na Maisha ya Sala Katekisimu Mpya ya Kanisa Katoliki ni: Muhtasari wa: Imani, Sakramenti,  Maisha Adili na Maisha ya Sala pamoja na Sheria Mpya za Kanisa ni matunda ya Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican, ambayo Mama Kanisa anaona fahari kuyaadhimisha katika Mwaka wa imani uliotangazwa na Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI na hatimaye, kuhitimishwa na Baba Mtakatifu Francisko. Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni amana, urithi na utajiri wa imani; matunda ya Maadhimisho ya Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican na chombo cha kusaidia mchakato wa ukuaji na ushuhuda wa imani kwa Kristo Yesu na Kanisa lake. Ni chachu ya utakatifu wa maisha yenye mvuto na mashiko katika azma nzima ya uinjilishaji. Katekisimu ambayo ni muhtasari wa Imani ya Kanisa katika Fumbo la Utatu Mtakatifu, Kanisa na Mambo ya nyakati. Ni muhtasari wa adhimisho la Fumbo la Pasaka katika Sakramenti za Kanisa, Sakramenti za Kristo, Sakramenti ...